Tangazo

Pages

Saturday, August 4, 2012

BONDIA FLOYD MAYWEATHER ATAKIWA KUKATA LESENI MPYA KABLA YA KURUSIWA KUINGIA ULINGONI

Bondia Floyd MAYWEATHER BAADA YA KUTOKA JELA AKITAKA KUPIGANA NEVADA INABIDI APATE LESENI MPYA:-mjumbe wa kamisheni hiyo ya (Nevada Athletic Commision) Keith Kizer alisema alhamisi hii kuwa leseni ya Mayweather iliisha mwezi wa tano baada ya pambano lake dhidi ya Miguel Cotto.Mayweather jr alienda jela kwa kosa la baada ya kumvuta nywele na kumshambulia mpenzi wake wa zamani na mama wa watoto wake watatu Josie Harris.Harris na wanawe wameondoka los Angeles tangu mbabe huyo awe jela juni 1 mwaka huu bondia huyo ambae ajawai kupoteza mpambano ata mmoja huwenda baada ya kukata leseni yake mpya akapambana na bondia Manny Paquaio

No comments:

Post a Comment