
Mbunge wa Jimbo la Kinondoni Iddy Azani akimvisha mkanda wa ubingwa unaotambuliwa na chama cha mchezo wa ngumi za kulipwa PST bondia Japhet Kaseba baada ya kumtwanga Maneno Oswald kwa Point jijini Dar es salaam jana.(picha na
http://www.superdboxingcoach.blogspot.com/)


Baadhi ya mashabiki wakiangalia mpambano
Ernest Bujiku alitoka sale na Ambokile Chusa
No comments:
Post a Comment