Tangazo

Pages

Thursday, September 15, 2016

MABONDIA MANYI ISSA NA MUSTAFA DOTTO KUONESHANA UMWAMBA OTCOBER 2 KIMARA

Mabondia Manyi Issa kushoto akitunishiana misuli na Mustafa Dotto baada ya kusaini mkataba kwa ajili ya kuzipiga Mustafa Dotto October 2 katika ukumbi wa white house kimara koroge Picha na SUPER D BOXING NEWS
Mabondia Manyi Issa kushoto akitunishiana misuli na Mustafa Dotto baada ya kusaini mkataba kwa ajili ya kuzipiga Mustafa Dotto October 2 katika ukumbi wa white house kimara koroge Picha na SUPER D BOXING NEWS
MUSTAFA DOTTO
Na Mwandishi Wetu

MABONDIA MBALIMBALI KUZIPIGA October 2 katika ukumbi wa White House Kimara Korogwe mabondia hawo ni Manyi Issa atakaezipiga na bondia mkongwe na mzoefu Mustafa Dotto katika uzito wa kg 61 na mpambano mwingine utawakutanisha maasimu Shedrack Ignas atakae zipiga na Abdalla Ruwanje  katika uzito wa kg 63 mpambano wa raundi sita

Mapambano hayo yameratibiwa na kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D'

aliongeza kwa kusema kuwa siku hiyo kutakuwa na mapambano mbalimbali ya masumbwi yatakayo kuwepo siku hiyo

mapambano mengine yatawakutanisha mabondia Emanuel Kisawani atakaezipiga na Ellsame Mbwambo katika uzito wa kg 61 wakati bondia Mohamed Muhunzi atapambana na Kassim Ahmad mpambano wa raundi nne KG 56 bondia machachali anaekuja juu zaidi katika mchezo wa masumbwi nchini Saidi Chino atazipiga na Haidali Mchanjo mpambano unao subiliwa kwa hamu kubwa na mashabiki wa mchezo uhu wa masumbwi na ndio pambano litakalo beba michezo yote ya siku hiyo
Mabondia wengine watakao zichapa siku hiyo ni Athumani Yanga atakae oneshana ubabe na Hashimu Chisora katika uzito wa KG 61 wakati Karim Migea atavaana na Bright Nazad katika uzito wa kilo gram 61 na mpambano mwingine utawakutanisha Julias Jackson atakae vaana na Emilio Norfat mpambano wa raundi sita

Katika Mchezo huo kutakua na Uuzwaji wa DVD za mafunzo ya mchezo wa ngumi pamoja na kutambua sheria zake mbalimbali zitakazokua zikisambazwa na kocha  'Super D' kwa ajili ya kuwapa mabondia mbalimbali mbinu za mchezo na mashabiki kujua sheria za masumbwi. 


Ndani yake wakiwemo mabondia Floyd Mywether, Manny Paquaio, Amiri Khani, Mohamedi Ali, Mike Tayson David Haye na wengine ambapo kutakuwa na matukio ya mazoezi yao katika mataifa yao ikumbukwe kuwa ni mabingwa wa dunia. na kutakuwa na mapambano makubwa matano ya utangulizi

No comments:

Post a Comment