Tangazo

Pages

Monday, October 13, 2014

NGUMI KUPIGWA SIKU YA NYERERE DAY MUSOMA BAR TANDIKA MAGULUWE

Bondia Suma Ninja akitunishiana misuli na Shomali Mirundi baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika katika ukumbi wa Musoma Bar Tandika Maguluwe siku ya Nyerere Day Picha na SUPER D
Bondia Azizi Abdalla akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake utakaofanyika siku ya nyerere Day Oktoba 14 katika ukumbi wa musoma bar tandika maguluwe kulia ni mpinzani wake Azizi Rashid Picha na SUPER D
Bondia Imani Daudi 'Imana Mapambano' kushoto akitunishiana misuli na Ally Sufiani baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika siku ya Nyerere Day katika ukumbi wa Musoma Bar Tandika Maguluwe Picha na SUPER D BLOG
Bondia Suma Ninja akitunishiana misuli na Shomali Mirundi baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika katika ukumbi wa Musoma Bar Tandika Maguluwe siku ya Nyerere Day Picha na SUPER D
Mabondia Azizi Abdalla na Azizi Rashid wakitunishiana misuli baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika siku ya Nyerere Day katika ukumbi wa musoma bar tandika maguluwe Picha na SUPER D BLOG
Bondia Imani Daudi 'Imana Mapambano' kushoto akitunishiana misuli na Ally Sufiani baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika siku ya Nyerere Day katika ukumbi wa Musoma Bar Tandika Maguluwe katikati ni Rais wa TPBO Yassin Abdallah  Picha na SUPER D BLOG

Na Mwandishi Wetu

MABONDIA Imani Daudi 'Imani wa Mapambano' na Ally Sufiani wamepima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa raundi nane utakaofanyika katika ukumbi wa musoma bar tandika maguluwe

akizungumza na wahandishi wa habari wakati wa zoezi la upimaji uzito Promota Kelvin Mapunda amesema mbali na mpambano huo kutakuwa na mapambano mengine mbalimbali ambapo bondia Suma Ninja atavaana na Shomari Mirundi na Azizi Abdallah atapambana na Azizi Rashidi

ngumi hizo zilizopangwa kufanyika oktoba 14 siku ya kumbukumbu ya kufanyiki baba wa taifa zitakuwa chachu ya kufufua mchezo wa masumbwi katika kitongoji cha tandika na maeneo ya jirani


siku hiyo pia kutakuwa zikiuzwa DVD mpya za masumbwi ambazo zinaonesha mafunzo mbalimbali ya mchezo wa ngumi yanavyoanza hatua kwa hatua

mpaka kujua kitu kamili katika


mchezo huo pia kunakuwa na mapambano ya mabondia mabigwa wa dunia wa mchezo huo kama Floyd

Maywether, Manny Paquaio,mike Tyson, Mohamed Alli pamoja na mabambano ya ngumi ya ndani
No comments:

Post a Comment