Tangazo

Pages

Thursday, October 30, 2014

MPAMBANO WA KWANZA KUZAMINIWA NA RAIS WAENDELEA KUWEKA HISTORIAMpambano  wa kwanza kabisa kuzaminiwa na Rais wa Zaire Mabutu Seseseko mwaka 1974 ambapo historia mpaka leo hii inasomeka na aito futika duniani
super d boxing coach and promotion news leo ni siku muhimu sana katika masumbwi ya kukumbukwa duniani kote ambapo mabondia muhamed ali na george formen walicheza kwa mara ya kwanza afrika na kuweka historia ambayo bado aijavujwa mpaka leo ni miaka 40 tangia lifanyike pambano hilo dvd zake zipo SUPER D 0787406938 uhuru na msimbazi kariakooNo comments:

Post a Comment