Tangazo

Pages

Wednesday, July 16, 2014

KAMPUNI YA SHIJA PROMOTIONS KUANDAA PAMBANO LA KICK BOXING LA KIMATAIFA DAR''HIVI KARIBUNI  NILIKUWA NCHINI SAPIN KATIKA SEMINA YA MUAY-THAI katika GYM INTERNATIONAL RAM MUAY CHINI YA CHAMA WORLD FEDERATION  THAI-BOXING CHA SPAIN PRESIDENT JOSE COSSA.  MWAKA HUU WAPIGANAJI WA SPAIN WATAKUJA CHINI TANZANIA KWA AJILI YA KUTOA MAFUNZO KWA MA WAAMUZI WA MCHEZO WA MUAY-THAI NA MIXED MARTIAL ARTS   [MMA] PIA KUTAKUWA NA MPAMBANO WA UBINGWA WA DUNIA WA MUAY-THAI   TANZANIA AGAINST SPAIN  UTAKAOANDALIWA NA KAMPUNI YA SHIJA PROMOTIONS. EMMANUEL SHIJA NI PRESIDENT WORLD FIGHTINGS PORT &  MARTIAL ARTS COUNCIL [WFMC  ] MAKAO MAKUU GERMAN''.

No comments:

Post a Comment