![]() |
Bondia Canelo Alvarez akinyoshwa mkono juu na refarii, baada ya kumpiga, Erislandy Lara kwa point baada ya raund 12- kumalizika |
![]() |
Bondia Canelo Alvarez, kushoto , akipambana na Erislandy Lara wakati wa mpambano wao uliofanyika alfajiri ya leo wa uzito wa super welterweight mpambano uliofanyika katika ukumbi wa MGM Grand.(Photo: Stephen R. Sylvanie, USA TODAY Sports)
|
No comments:
Post a Comment