Tangazo

Pages

Friday, May 9, 2014

MIYEYUSHO VS MOHAMED MATUMLA WAPIMA UZITO KUPIGANA MAY 10 JUMAMOSI P.T.A SABASABA

Mabondia Fransic Miyeyusho kushoto na Mohamed Matumla wakitunishiana msuli baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika katika ukumbi wa P.T.A Sabasaba siku ya jumamosi ya may 10 picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Mohamed Matumla akipima uzito

Mabondia Fransic Miyeyusho kushoto na Mohamed Matumla wakitunishiana msuli baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika katika ukumbi wa P.T.A Sabasaba siku ya jumamosi ya may 10 picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

No comments:

Post a Comment