Tangazo

Pages

Wednesday, April 3, 2013

PAMBANO LA NGUMI UBINGWA WA UBOBondia Issa Omar na Shaban Madiluu leo mchana wamemaliza taratibu zote zinazohusiana na mpambano wao wa ubingwa wa UBO. Kwa upande wa mabondia wenyewe wamejinadi  kuwa wamejiandaa vizuri kwa mazoezi ya muda mrefu kwa ajili ya pambano hilo. Pambano hilo lililoandaliwa na Bigright Promotion na litasimamiwa na PST chini ya Rais wake, Emmanuel Mlundwa kwa dhamana ya UBO akiwa kama mwakilishi wa Afrika Mashariki.

No comments:

Post a Comment