Na Mwandishi Wetu
MABONDIA mbalimbali wanatarajia kupmbana siku ya Alhamisi ya March 3 katika ukumbi wa CCM Mwijuma Mwananyamala jijini Dar Es Salaam
akizungumza wakati wa utambulisho wa mpambano uho wenye lengo la kuinua vipaji vya mabondia chipkizi na kuendeleza wale ambao wanafanya vizuri katika mchezo wa masumbwi
Mratibu wa mpambano uho Ibrahimu Kamwe 'Big Rght' amesema kuwa uwo ni mpango maalumu ya kukuza vipaji vya mabondia chipkizi utakaokuwa endelevu mpaka pale watakapo wachuja na kupata mabondia wa kuwaendelez zaidi
alitaja watakaozipiga siku hiyo kuwa ni Mwinyi Mzengera atakaezipiga na George Geremiya wakati Herman Shekivul akimenyana na Seleman Daud wakati Hassani Mbalale atazidunda na Amos Mohando Kassim Chuma atakumbana na Said Nyonzo uku Shaban Manjoly akipambana na Paul Nachelewa wakati Mbena Rajabu atapimana ubavu na Said Katinko na HashimuChisola atakumbana na Sebastian Mkombozi na Maono Ally atacheza na Amani Juma
katika mchezo uho siku hiyo kingilio kitakuwa ni Tsh;5000/= kwa watu wote
nae Promota wa mpambano uho Abuu Chaka aliongeza kwa kuseka kuwa wameamua kuwainua vijana kwa ajili ya kuendeleza vipaji vyao hivyo amewataka mabondia wote chipkizi kufanya mazoezi na kujituma kwa ajili ya mashindano mbalimbali yatakayokuwa yakifanyika kila mwanzoni mwa mwezi kwa kuwainuwa vijana hawo nimeamua kujitolea
hivyo naomba wadau wengine wainge mfano uhu wa kujali michezo pia watoe sapoti mbalimbali kwa ajili ya mchezo wa masumbwi mchezo
No comments:
Post a Comment