Tangazo

Pages

Thursday, August 20, 2015

MABONDIA KUPIMA UZITO IJUMAA KUPIGANA JUMAMOSI KARIAKOO UHURU WASICHANA

Na Mwandishi Wetu

MPAMBANO Mkali wa masumbwi unatar

ajiwa kufanyika agost 22 katika viwanja vya shule ya uhuru wasichana kariakoo Dar es salaam akizungumzia mpampambo uho kocha  wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' amesema kuwa siku hiyo kutakuwa na mipambano mikali ya kumaliza ubishi ambapo

Bondia bingwa wa Afrika Ibrahimu Class 'King Class mawe' atapambana na Ally Mulo wakati bondia anayechipukia kwa kasi ya ajabu nchini Vicent Mbilinyi atapambana na Kelvin Majiba wakati Raymond Mbwago atacheza na Roger Masawe uku Husein Pendeza atapambana naShomari Mirundi mipambano yote hiyo itakuwa ni ya raundi sita sita kwa ajili ya kuongeza ufanisi wa mabondia pamoja na kuwaweka bize kila  wakati kwa ajili ya mashindano mbalimbali

Super D aliongeza kwa kusema anaomba  sapoti kwa  wadau mbalimbali kufanikisha mpambano uho mkali wa masumbwi utakaofanyika Agost 22 katika uwanja wa shule ya Uhuru Wasichana ambapo mabondia wote watapima uzito siku ya ijumaa pale kariakoo mtaa wa ndanda tawi la Yanga Bomba saa nne asubui kwa ajili ya mpambano uho siku ya jumamosi

Katika mpambano huo siku hiyo kutakuwa na uzwaji wa DVD za mafunzo ya mchezo wa ngumi  kali pamoja na kutambua sheria zake zikiwa na mabondia wakali kama vileFloyd Mayweathar,Manny Paquaio, Saul 'canelo' alverez ,Mike Tyson,Mohamed Ali,Ferex Trinidad,Miguel Cotto na wengine wengipia kuta kuwa na vifaa vya mchezo vitakaokuwa vikitolewa na Rajabu Mhamila 'Super D' kwa mabondia watakaofanya vizuri siku hiyo na vingine kuuzwa kwa pesa taslimu na kocha huyo kwa ajili ya kuamasisha

No comments:

Post a Comment