Tangazo

Pages

Friday, December 5, 2014

NGUMI ZILIVYOPIGWA KOBELO PUB MANZESE

Bondia Abdallah Zamba kushoto akitoa kipigo kwa Hamis Mlenga wakati wa mpambano wao uliofanyika katika ukumbi wa Kobelo Pub uliopo Manzese Dar es salaam Zamba alishinda kwa point Picha na SUPER D BOXING NEWS

 Mabondia Ahira Chazi kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na  Selemani Bangaiza wakati wa mpambano wao Picha na SUPER D BOXING NEWS
Mabondia Idi Kayumba kushoto akioneshana umwamba na Shedrack Juma wakati wa mpambano wao uliomalizika kwa droo Picha na SUPER D BOXING NEWS

No comments:

Post a Comment