Tangazo

Pages

Friday, December 19, 2014

BONDIA MAOKOLA AMDUNDA MKALAKALA KWA K,O YA RAUNDI YA 7 NA KUTETEA MKANDA WAKE

Mabondia Antony Peter kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Hamidu Mussa wakati wa mpambano wao Mussa alishinda kwa point mpambano huo Picha na  SUPER D BOXING NEWES
 Mabondia Ibrahimu Maokola kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Selemani Mkalakala wakati wa kugombania ubingwa wa Taifa unaotambuliwa na chama cha TPBC Maokola alishinda kwa k,o ya raundi ya saba  Picha na  SUPER D BOXING NEWES
Bondia Selemani Mkalakala akiwa chini kwa konde zito alilotupiwa na Ibrahimu Maokola wakati wa mpasmbano wao wa ubingwa Picha na  SUPER D BOXING NEWES
IBRAHIMU MAOKOLA

Mgani rasmi katika mpambano huo Joseph Vitalis kulia akimvisha mkanda wa ubingwa unaotambulika na chama cha TPBC bondia Ibrahimu Maokola baada ya kumdunda Seleman Mkalakala kwa k,o ya raundi ya 7 kushoto ni promota wa mpambano huo Shabani Adiosi Picha na  SUPER D BOXING NEWES

No comments:

Post a Comment