

Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa ngumi Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akimkabidhi clip bandeji na DVD za mafunzo ya mchezo wa ngumi kwa bondia Mussa Mchopanga baada ya kumdunda Anton Idoa kwa K,o ya raundi ya pili bondia huyo ndie bingwa kwa sasa wa mkoa wa Dar ers salaam na anajiandaa na mashindano ya Majiji yatakayofanyika katikati ya mwaka huu Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Bondia Anton Idoa akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Mussa mchopanga wakati wa mashindano ya Mkoa wa Dar es salaam yaliyofanyika katika ukumbi wa Panandi panandi Ilala Mchopanga alishinda raundi ya pili picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Bondia Anton Idoa kushoto akirusha konde ambalo alijareta madhala kwa mpinzani wake ambae anamwangalia Mussa Mchopanga wakati wa Mashindano ya Mkoa wa Dar es salaam Mchopanga alishinda kwa K,O ya raundi ya pili picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Kocha Mkongwe wa mchezo wa masumbwi nchini Habibu Kinyogoli kushoto akimwinua mkono juu bondia Mussa Mchopanga baada ya kumvalisha medali ya Dhaabu baada ya kuibuka mshindi wa mkoa wa Dar es salaam Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa ngumi Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akimkabidhi clip bandeji na DVD za mafunzo ya mchezo wa ngumi kwa bondia Mussa Mchopanga baada ya kumdunda Anton Idoa kwa K,o ya raundi ya pili bondia huyo ndie bingwa kwa sasa wa mkoa wa Dar ers salaam na anajiandaa na mashindano ya Majiji yatakayofanyika katikati ya mwaka huu Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa ngumi Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akimkabidhi cheti kwa bondia Mohamed Chibumbuli mara baada ya kuibuka mshindi wa mashindano ya mkoa wa Dar es salaam Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa ngumi Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akimkabidhi cheti kwa bondia Mohamed Chibumbuli mara baada ya kuibuka mshindi wa mashindano ya mkoa wa Dar es salaam Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa ngumi Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akimvisha medali ya dhaabu bondia Mohamed Chibumbuli mara baada ya kuibuka mshindi wa mashindano ya mkoa wa Dar es salaam Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa ngumi Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akimvisha medali ya Fedha bondia Abdul Rashidi mara baada ya kuibuka mshindi wa pili wa mashindano ya mkoa wa Dar es salaam Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Bondia Cosmas Peter kushoto akipambana na Hfidhi Bamtula wakati wa mpambano wao uliofanyika Dar es salaam jana kwenye mashindano ya Mkoa ambayo yanachagua bondia atakaewakilisha Mkoa wa Dar es salaam Bamtula alishinda kwa Point Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Bondia Hafidhi Bamtula kushoto akitupa ngumi ambayo imenda hewani bila mafanikio alipokuwa akipambana na Cosmas Peter wakati wa Mashindano ya Mkoa wa Dar es salaa ambayo wanachagua mabondia wa mkoa huo Bamtula aklishinda kwa point mpambano huo Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Bondia Emillian Patrick kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Hamad Furahisha wakati wa mashindano ya mkoa wa Dar es salaam Patrick alishinda kwa point mpambano huo picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Bondia Kasimu Mbutike kushoto akimtupia konde la mkono wa kushoto Yusufu Said wakati wa mashindano ya mkoa Wa Dar es salaam yaliyofanyika katika ukumbi wa panandi panandi Ilala Bungoni Said alishinda kwa point Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
![]() |
MPAMBANO AMBAO ULIWAKESHESHA WATU MACHO MIMI NIKIWA NI MMOJA WAO kwa MAHITAJI YA DVD WASILIANA
Rajabu Mhamila 'Super D'
mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania |
![]() |
Saul 'canelo' alverez bondia mkari kwenye dvd hii unapata gem zake nne pamoja na historia yake ya ngumi na ndie bondia anaekubalika zaidi mexico |
![]() |
DVID MPYA ZA MASUMBWI KWA SASA ZIPO TAYARI KWA AJIRI KUPATA BURUDANI UKIWA NYUMBANI ZAID TUWASILIANE 0713406938 AU TEMBELEA www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Bondia Husein Pendeza wa Klabu ya Ashanti Ilala kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde kiufundi na Ayubu Ibrahimu wa Green House wakati wa ufunguzi wa mashindan ya wazi mkoa wa Dar es salaam yanayoenderea katika ukumbi wa panandi pasnandi Ilala Bungoni Ibrahimu alishinda kwa point Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Mwenyekiti wa Ngumi za Ridhaa Mkoa wa Dar es salaam DABA akimkabidhi risara Mbunge wa Ilala Mussa Azan Zungu wakati wa mashindano ya wazi yaliyoanza jumatatu |
Bondia Husein Pendeza wa Klabu ya Ashanti Ilala kulia akimtupiana makonde kiufundi na Ayubu Ibrahimu wa
Green House wakati wa ufunguzi wa mashindano ya wazi mkoa wa Dar es salaam
yanayoenderea katika ukumbi wa panandi pasnandi Ilala Bungoni Ibrahimu
alishinda kwa point Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com Mbunge wa Ilala Mussa Zungu akifatilia mchezo wa ngumi Na Mwandishi Wetu SHILIKISHO la ngumi za ridhaa Mkoa wa Dar es salaam umezindua rasmi mashindano yake ya kwanza tangia waingi Madarakani mashindano hayo yalifunguliwa jana na mgeni rasmi Mbunge wa Ilala Mussa Azan Zungu ambayo imekutanisha zaidi ya timu ishirini na mabondia 60 wa mkoa huu akisoma risala kwa mgeni rasmi Mwenyekidi wa ngumi mkoa wa Dar Akaroli Godfrey amesema mbali na mashindano hayo kuwa na changanmoto mbalimbali wameamua kuyafanya kwa kuwa yapo kwenye karenda yao ata hivyo akuna zawadi zozote kwa mabondia watakaopigana hivyo kama mbunge wa jimbo la ilala tunaomba utupatie angarau medali kwa mabondia aidha vifaa tulivyo navyo avikizi kimchezo akijibu lisara hiyo mbunge huyo ame haidi kutoa zawadi pamoja na kuwa mlezi wa ngumi za ridhaa mkoa wa Dar es salaam na kuwasaidia kutafuta wadhamini mbalimbali watakaojitokeza kuinua mchezo wa masumbwi nchini ili ngumi zisonge mbele katika ufunguzi huo mabondia Anton Idoa alimtwanga kwa K,O ya raundi ya pili bondia Mohamed Mzeru huku John Cristian akimsambaratisha Omar Said, na shabani Alimasi akimdunda Saidi Kondo na bondia pekee kutoka timu ya shanti ya Ilala,Hussein Pendeza alipoteza kwa pointi na Ayubu Ibrahimu |
Mabondia wa kike wakioneshana umwamba wa kutupiana makonde walipokuwa wakicheza mchezo huo jana kushoto ni Halima Ramadhani na Zulfa Macho mchezo huo ulifutia mashabiki wengi waliojitokeza Macho alishinda kwa point picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Bondia Halima Ramadhani akitafuta njia ya kumpiga mwenzie ngumi Zulfa Macho wakati wa mpambano wao jana |
Bondia Zulfa macho akimpiga mpinzani wake Halima Ramadhani ngumi ya kolomelo wakati wa mchezo wao uliofanyika Dar es salaam jana macho alishinda kwa point picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Bondia Idd Athumani akioneshana ufundi wa kutupiana makonde na Shabani Madilu wakati wa mpambano wao uliofanyika jana Athumani alishinda kwa point |
Bondia Mussa Chitepete akimrushia ngumi bondia Ramadhani shauli wakati wa mpambano wao wa kirafiki uliofanyika jana Shauli alishinda kwa K,O ya raundi ya saba baada ya refarii kumtoa nje ya mchezo chitepete picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Bondia Mussa Chitepete akioneshana umwamba wa kutupia ngumi na bondia Ramadhani shauli wakati wa mpambano wao wa kirafiki uliofanyika jana Shauli alishinda kwa K,O ya raundi ya saba baada ya refarii kumtoa nje ya mchezo chitepete picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Meneja Mpango wa Uchangiaij wa hiyari kutoka PSPF ,Mwanjaa Sembe kushoto akimpatia ya upiga picha bora wa mchezo wa masumbwi pamoja na uhamasishaji mchezo huo Rajabu Mhamila 'Super D' wakati wa utoaji wa Tuzo hizo kwa mabondia zilizofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba Dar es salaam picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Naibu Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo, Juma Mkamia akimkabidhi tuzo ya bondia bora wa mwaka 2013 kwa ngumi za ridhaa Gelvars Rogasian wakati wa utoaji tuzo za PSPF BOXING AWARDS zilizofanyiaka katika ukumbi wa PTS Sabasaba picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Naibu Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo, Juma Mkamia akimkabidhi tuzo ya bondia bora wa mwaka 2013 kwa ngumi za kulipwa Francsis Cheka wakati wa utoaji tuzo za PSPF BOXING AWARDS zilizofanyiaka katika ukumbi wa PTS Sabasaba picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Mjumbe wa maendereo ya wanawake katika mchezo wa masumbwi nchini Aisha Vonialis kulia akiwa na Naibu Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo, Juma
Mkamia picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Mjumbe wa maendereo ya wanawake katika mchezo wa masumbwi nchini Aisha Vonialis kulia akiwa na Fransic Cheka picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Mjumbe wa maendereo ya wanawake katika mchezo wa masumbwi nchini Aisha Vonialis kulia ajkiwa na Zuwena Kipingu ambaye ni Mjumbe wa shilikisho la ngumi za ridhaaa nchini BFT picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Tuzo iliyochukuliwa na Rajabu Mhamila Super d |
Rais wa PST Emanuel Mlundwa kushoto akimpatia tuzo ya Bondia bora wa mwaka Bilali Ngonyani kwa niaba ya Ibrahimu Class King Class Mawe |
Aga Peter akimpatia tuzo Franscis Cheka |
Mdau wa masumbwi Aga Peter akimkabidhi tuzo Fadhili Majia kulia ni Mjumbe wa maendereo ya wanawake katika mchezo wa masumbwi nchini Aisha Vonialis picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Promota wa masumbwi Mohamed Bawazir akimpatia tuzo ya uandishi bora wa mchezo wa masumbwi Mwali Ibrahimu katikati ni Mjumbe wa maendereo ya wanawake katika mchezo wa masumbwi nchini Aisha Vonialis picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Rashidi Matumla akimpatia tuzo Fadhili Majia |
Mjumbe wa maendereo ya wanawake katika mchezo wa masumbwi nchini Aisha Vonialis kulia ajkiwa na Zuwena Kipingu ambaye ni Mjumbe wa shilikisho la ngumi za ridhaaa nchini BFT wakipiga picha ya pamoja na hadija Khopa picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
kocha wa timu ya Taifa Jonas Mwakipesile akimkabidhi tuzo Selemani Kidunda picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Mjumbe wa maendereo ya wanawake katika mchezo wa masumbwi nchini Aisha Vonialis kushoto akimkabidhi tuzo kocha wa timu ya Taifa Jonas Mwakipesile picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Wajumbe wa kamati ya maandalizi ya PSPF TANZANIA BOXING AWARDS wakiwa katika picha ya pamoja na naibu waziri wakati wa utoaji wa tuzo hizo picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |