Tangazo

Pages

Tuesday, January 1, 2013

FADHIRI AWADHI AMSAMBALATISHA TEMBO MTOTO BILA HURUMA

Bondia Fadhili Awadhi 'Mnyama Chui'  kushoto akioneshana uwezo wa kutupiana masumbwi na Yohana Matayo 'Tembo Mtoto' wakati wa mpambano wao wa kuukaribisha mwaka mpya uliofanyika katika ukumbi wa Texas Mnzese Dar es salaam Awadhi alishinda kwa T.K.O ya raundi ya nne Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Fadhili Awadhi 'Mnyama Chui'  kulia akioneshana uwezo wa kutupiana masumbwi na Yohana Matayo 'Tembo Mtoto' wakati wa mpambano wao wa kuukaribisha mwaka mpya uliofanyika katika ukumbi wa Texas Mnzese Dar es salaam Awadhi alishinda kwa T.K.O ya raundi ya nne Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Lampad akishangilia ushindi wake
Bondia Fabian Lymo kushoto akioneshana kazi ya kurusha makonde na Hassan Mmanga wakati wa mpambano wao wa kirafiki wa kufungua mwaka uliofanyika katika ukumbi wa Texas Manzese Dar es salaam Lymo alishinda kwa T.K.O raundi ya tatu picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

No comments:

Post a Comment