Tangazo

Pages

Tuesday, December 13, 2011

KAMBI YA ILALA YAMNOA UBWA SALUMU KWA AJILI YA MPAMBANO WAKE WA DESEMBA 25

Bondia Ubwa Salumu akioneshana kiwango cha masumbwi na bondia Abuu Mtambwe wakati wa mazoezi yanayoendelea katika kambi ya ngumi Ilala Ubwa anajiandaa na mpambano wake na Mustafa Doto litakalofanyika desemba 25 katika ukumbi wa Heineken Mtoni Kijichi Dar es salaam
Ubwa Salumu kushoto akioneshana ufundi wa kutupa masumbwi na Abuu Mtabwe katika mazoezi kambi ya Ilala Dar es salaam
Kocha Mkongwe wa Mchezo wa ngumi Habibu Kinyogoli kulia akiwaelekeza mabondia Ubwa salumu na Abuu Mtambwe jinsi ya kutupa Masumbwi wakati wa mazoezi ya kambi ya Ilala

No comments:

Post a Comment