Tangazo

Pages

Thursday, November 3, 2011

Evander awataka mabingwa wa ngumi toka familia ya klitschko


Bondia Mkongwe Evander Holyfield yupo mbioni kupigana na mmoja ya mabondia mabingwa wa uzito wa juu Dumiani toka katika familia ya klitschko amesema atostafu ngumi mpaka amewachapa mabondia hawo ndugu wamekuwa wakipewa mambondia ambao awana uwezo wa kuimili mikiki mikiki ya ngumi ndio mana wamekuwa mabingwa wa mikanda yote ya Dunia 'alisema Evander

No comments:

Post a Comment