NA MWANDISHI WETU
BONDIA Ibrahimu Class
‘king Class Mawe’ amesema kuelekea katika mpambano wake na Nasibu Ramadhani
Septemba 24 atokuwa na msalie mtume kutokana na Nasibu kuwa na maneno sana
hivyo baasi anataka akate ngebe kwa kumpiga K.O mbaya sana ambayo aijawai
kutokea
Katika maisha ya
ngumi kwani ndio itakuwa mwisho wake wa kucheza mchezo wa masumbwi nchini hivyo
basi naomba wapenzi wa mchezo wa masumbwi waje kuangalia mpambano wa kihistoria
nitakaopambana na nasibu mana nimepania kucheza mchezo mzuri ambao utawafurahisha
na kuwaburudisha wapenzi wa mchezo wa masumbwi nchini
Alijimwambafai Class
ata hivyo mpambano uho wa raindi kumi unaosubiliwa kwa hamu kubwa sana na mashabiki
wa ngumi nchini umekuwa ukoingelewa kila kukicha na wapenzi mbalimbali wa
mchezo huo wa masumbwi
Nae bondia Nassibu
Ramadhani alijibumapigo kwa kusema kuwa kwa sasa Class atoboi kwani mpambano wa
mara ya kwanza alibebwa na majaji hivyo kwa sasa nimemuandalia kipigo
kitakatifu ambacho ato kisaau maishani mwake
Na mimi uwaga kwangu
ni vitendo tu sinaga mambo mengi katika mchezo wa ngumi mimi ndio sinaga mda wa kuongea ongea
kumaliza maneno na kubwabwaja hovyo
Nae promota wa
mpambano huo Rajabu Mhamila ‘Super D’ kutoka katika kampuni Tanzu ya Kizalendo
ya Super D Boxing Promotion wamejipanga kuwaletea mapambano yenye tija kwa
mabondia na yenye upinzani mkubwa ili wapenzi wa mchezo wa masumbwi wapate
burudani
Aliongeza kwa kusema
kuwa siku hiyo wameandaa mapambano saba yatakayopigwa siku hiyo uku tukiwa
tumesha wasainisha mabondia Juma Choki atakaezipiga na Issa Nampepecvh mpambano
wa raundi nane
Na tatali wamesha
wasainisha mabondia vicent mbalinyi atakaezipiga na Shedrack Ignas wakati
Waziri Rosta atakuwa akizipiga na Anuary Mlawa na Albano Clement atazipiga na
Ramadhani Migwede na kwa upande wa kina dada bondia Agnes Kayange atazichapa na
Lulu Kayage mpambano wa raundi siti na bondia Daudi Mwita atakuwa akizipiga na
Saidi Ndilimo
No comments:
Post a Comment