![]() |
Promota wa mpambano wa masumbwi nchini Jay Msangi 'Jiwe Gumu' katikati akiwatambulisha mabondia Abdallah Pazi kushoto na Twaha Kiduku watakaopambana August 28 katika uwanja wa Uhuru Dar esa Salaam |
Thursday, July 30, 2020
MABONDIA ABDALLA PAZI NA TWAHA KIDUKU WATAMBULISHA MPAMBANO WAO WA AUGUST 28 UWANJA WA UHURU
SUPER D AMNOWA JUMA CHOKI KUJIANDAA KUMKABILI EMANUEL MWAKYEMBE AUGUST 14 MLIMAN CITY
Na Mwandishi Wetu
Bondia Juma Choki anaye jiandaa na mbambano wake dhidi ya Emanuel Mwakyembe AUgust 14 katika ukumbi waMlimani City jijini Dar es es salaam amejinasibu kumpiga bondia huyo na kuendeleza ubabe baada ya mara ya kwanza kumpiga na kuwa bingwa wa ubingwa wa king of The Ring katika mashindano yaliyofanyika mwaka jana
akijinasibu bondia huyo alivyotembelewa kambini kwake kwa Super D Coach iliyopo shule ya Uhuru Jijini Dar es salaam
Amesema kuwa mwakembe ana uwezo wa kukanyaga moto wake ata siku moja kwani kichapo alichompa mara ya kwanza kitakuwa zaidi ya kile
naomba mashabiki waje kuangalia kichapo nitakachompa ulingoni
kwani ndipo pa kuoneshana uwezo kama anavyosemaga kocha Super D Kazi Kazi No Pain No Gain yani siku hiyo patachimbika hivyo mwakyembe ajipange sana kwana mazoezi ninayofanya na mbinu ninazofundishwa sio za kitoto hatari tupu
Nae kocha wa bondia huyo Rajabu Mhamila 'Super D' amesema hii ni vita kubwa sana kwa kuwa kocha wa mwakyembe Edward Lwiyakwipya wamesoma nae pamoja katika ngazi kubwa ya kozi ya kimataifa hata hivyo mimi nina mbinu nyingi zaidi yake ndio mana nilimtwanga katika mpambano wa kwanza na sasa naenda kupiga begi langu tena ata hivyo nita akikisha napata ushindi usiokuwa wa kuwachosha majaji hivyo matumaini yangu ni kumpiga k,o mbaya zaidi
ikumbukwe kuwa mabondia wote wenye viwango vya juu nchini wanatoka kwangu ukiangalia mabondia wote wakubwa wanatoka kwangu
wanakuwa na viwango vya kimataifa hivyo najivunia kwa hilo ukiangalia mabondia wanaotoka kwangu akuna ata mchovyu mmoja alijinasibu Super D
Aliongeza kwa kusema mikono yake wamepita mabondia wengi sana akiwemo Sanday Kiwale, Idd Mkwera Vicent Mbilinyi Ibrahimu Class' King Class Mawe' Shomali Milundi Shabani Kaoneka na mabondia mbalimbali nchini wote wamepita katika mikono yangu kwa njia moja au nyingine hapa ndio No Pain No Gain kazi kazi hivyo wapenzi wa ngumi muje kwa wingi kuangalia kazi hii ambayo aita muacha mtu salam siku hiyo katika viwanja vyua mlimani City
Thursday, July 9, 2020
BONDIA HASSANI MWAKINYO ATANGAZA MPAMBANO WAKE WA AGOST 14 MLIMANI CITY ATAMVAA TSHIBANGU KAYEMBE WA DRC YA CONGO
Mlatibu mkuu wa mapambano Beatrice Said kulia ambaye ameandaa mchezo wa masumbwi yatakayofanyika Agost 14 akiwa na bondia Tonny Rashidi atakae tetea ubingwa wake huo na Gabriel Ochieng wa Kenya |
Subscribe to:
Posts (Atom)