Tangazo

Pages

Friday, November 10, 2017

BONDIA IDDI MKWELA AFUNGA NDOA NA ZAWADI MCHARO

Iddi mkwela kushoto akionesha pete yake pamoja na mkewe Zawadi Mcharo

maharusi wakiwa na kaka yao
Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kulia akimpa hongera bondia Iddi Mkwela baada ya kuchukuwa jiko
picha ya ndugu na jamaaa

maharusi Iddi Mkwela na Zawadi Mcharo wakiwa na wasanii wa kikundi cha Kahole Sanaa Group

Maharusi wakiwa na Msanii Teha

Maharusi Iddi Mkwela na Zawadi Mcharo wakiwa na wasanii wa Kahole Sanaa Group kushoto ni Teha ,Maya
 Wakiwa na nyuso za furaha baada ya kufunga ndoa ni bondia Iddi mkwela kushoto na Mkewe Zawadi Mcharo baada ya kufunga ndoa yao Majohe Dar es salaam na kufuatia sherehe kubwa Magomeni 
BIBI HARUSI ZAWADI MCHARO

BW HARUSI IDD MKWELA

Wakiwa na nyuso za furaha baada ya kufunga ndoa ni bondia Iddi mkwela kushoto na Mkewe Zawadi Mcharo baada ya kufunga ndoa yao Majohe Dar es salaam na kufuatia sherehe kubwa Magomeni 

No comments:

Post a Comment