Tangazo

Pages

Tuesday, June 7, 2016

MABONDIA WA SUPER D WAWATOA NISHAI WA MATUMLA NA MZAZI

Mabondia Vicent Mbilinyi kulia akioneshana umwamba wa kutupiaa makonde na Msafiri Haule wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita Mbilinyi alishinda kwa point mpambano uho wa raundi sita Picha na SUPER D BOXING NEWS
Mabondia Vicent Mbilinyi kulia akioneshana umwamba wa kutupiaa makonde na Msafiri Haule wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita Mbilinyi alishinda kwa point mpambano uho wa raundi sita Picha na SUPER D BOXING NEWS
WAKISUBILI MATOKEA BAADA YA KUMALIZIKA MPAMBANO

Mabondia Ibrahimu Mwaluwale kutoka kwa 'Mzazi GYM' kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Idd Mkwela kutoka kwa 'Super D Coach' wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita Mkwela alishinda kwa K,O ya raundi ya tatu Picha na SUPER D BOXING NEWS

Bondia Idd Mkwela kutoka kwa 'Super D Coach'  kushoto akioneshana umwamba na Mabondia Ibrahimu Mwaluwale kutoka kwa 'Mzazi GYM' Mkwela alishinda kwa K,O ya raundi ya tatu
Picha na SUPER D BOXING NEWSMabondia Ibrahimu Mwaluwale kutoka kwa 'Mzazi GYM' kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Idd Mkwela kutoka kwa 'Super D Coach' wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita Mkwela alishinda kwa K,O ya raundi ya tatu Picha na SUPER D BOXING NEWS
BONDIA IDD MKWELA KUSHOTO AKISALIMIANA NA KOCHA CRISTOPHER MZAZI BAADA YA MPAMBANO WAKE NA IBRAHIMUNa Mwandishi Wetu

MABONDIA Wawili  wanaonolewa kutoka kwa kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' 

mabondia hawo Idd Mkwela ambaye alimsambalatisha bila huruma bondia Ibrahim Mwaluwala kutoka kwa Christopher Mzazi ' MZAZI GYM'  kutoka mabibo mpambano wa raundi nne ata hivyo mpambano huu ulioanza kwa kasi ya ajabu ambano katika raundi ya kwanza

Mwaluwala alidondoshwa chini mara mbili kwa ngimi nzito nzito ilipofika raundi ya pili mabondia hawo walicheza mchezo wa piga nikupige ikafika kuangaliana kama majogoo baada ya kupigana ngumi nzito nzito katika raundi hiyo raundi ya mbili ilivyo isha ilivyo ingia raundi ya tatu Mkwela alikuja na mashambulizi mapya kabisa kwa kupiga ngumi nzito pamoja na kukwepa za mpinzani wake na mpinzani uy alivyona jahazi linazama refarii akanza kumuhesabia na kukatisha mpambano uho

na bondia mwingine Vicent Mbilinyi kutoka kwa 'Super D coach' alimsambalatisha Msafiri Haule kutoka katika clab ya mchezo wa masumbwi ya 'Matumla' inayo ngozwa na bondia mkongwe katika masumbwi Rashid Matumla mpambanowa raundi Sita

na Mbilinyi kuibuka na ushindi wa point ushindi huo uliopokelewa kwa furaha na kocha wa mchezo uho 'Super D' ambapo amesema uhu ni mwanzo tu wa mabondia wake kukutana na nguli wa mchezo wa masumbwi na hizi ni kama salamu kwa mabondia wengine wakitaji kucheza na mabondia wangu wajipange sana vinginevyo watakumbana na kipigo kibaya sana ambacho awataweza kusahau


No comments:

Post a Comment