KAMISHENI ya Ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBC), imemfungia bondia Francis Cheka kujihusisha na ngumi kwa miaka miwili pamoja na faini ya Sh 500,000 ikiwa ni siku moja tangu bondia huyo atangaze kustaafu.
Saturday, December 31, 2016
CHEKA AFUNGIWA MIAKA MIWILI NA TPBC KWA KUMKIMBIA DULLA MBABE
KAMISHENI ya Ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBC), imemfungia bondia Francis Cheka kujihusisha na ngumi kwa miaka miwili pamoja na faini ya Sh 500,000 ikiwa ni siku moja tangu bondia huyo atangaze kustaafu.
BONDIA VICENT MBILINYI
MABONDIA VICENT MBILINYI NA MRISHO ADAM KUONESHANA UMWAMA LEO MANZESE
Bondia Vicent Mbilinyi kushoto akitunishiana misuli na Mrisho Adam baada ya kupima uzito jana kwa ajili ya mpambano wao leo katika ukumbi wa manyara park manzese Picha na SUPER D BOXING NEWS |
bondia Mrisho Adam akipima uzito kushoto ni Vicent Mbilinyi
Bondia Vicent Mbilinyi akipima Uzito |
Tuesday, December 20, 2016
BONDIA OMARI KIMWERI AWAMWAGIA VIFAA MABONDIA WATANZANIA
Mwakilishi wa Kimweri Promotion Nchini Tanzania Yuyuph Mnyeto kushoto akimkabidhi vifaa vya ndondi kwa kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' baada ya kupokelewa na kukabidhiwa kwa wadau mbalimbali nchini vifaa hivyo vimetolewa na Bondia Mtanzania anaefanya shughuli zake Victoria, Australia, Omari Kimweri picha na SUPER D BOXING NEWS |
Bondia Selemani Kidunda kushoto kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' na Mwakilishi wa Kimweri Promotion Nchini Tanzania Yuyuph Mnyeto kushoto wakiwa katika picha wa pamoja baada ya kukabidhi vifaa vilivyotoka kwa bondia Omari Kimweri anaefanya shughuli zake Australia
picha na SUPER D BOXING NEWSMwakilishi wa Kimweri Promotion Nchini Tanzania Yuyuph Mnyeto kushoto akimkabidhi vifaa vya ndondi kwa kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' baada ya kupokelewa na kukabidhiwa kwa wadau mbalimbali nchini vifaa hivyo vimetolewa na Bondia Mtanzania anaefanya shughuli zake Victoria, Australia, Omari Kimweri picha na SUPER D BOXING NEWS
Monday, December 19, 2016
MABONDIA VICENT MBILINYI NA IDD MKWELA WAENDELEA KUJIFUA CHINI YA USIMAMIZI WA SUPER D COACH
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kulia akimnowa bondia Vicent Mbilinyi kwa ajili ya mpambano wake na Mrisho Adamu utakaofanyika katika ukumbi wa Manyara Park desemba 31 mpambano wa raundi kumi Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Bondia Vicent Mbilinyi kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Iddi Mkwela wakati wa mazoezi yanayoendelea katika kambi ya Super D Coach Uhuru GYM Kariakoo Mbilinyi anajiandaa na mpambano wake na Mrisho Adamu utakaofanyika Desemba 31 katika ukumbi wa Manyara Park Manzese Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Mabondia Iddi Mkwela kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Vicent Mbilinyi Mbilinyi anajiandaa na mpambano wake Desemba 31 kupambana na Mrisho Adamu Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Mabondia Iddi Mkwela kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Vicent Mbilinyi Mbilinyi anajiandaa na mpambano wake Desemba 31 kupambana na Mrisho Adamu Picha na SUPER D BOXING NEWS
KOCHA WA KIMATAIFA WA MCHEZO WA MASUMBWI NCHINI RAJABU MHAMILA 'SUPER D' KATIKATI AKIWA NA MABONDIA IDDI MKWELA KUSHOTO NA VICENT MBILINYI BAADA YA MAZOEZI KATIKA KAMBI YA SUPER D COACH UHURU GYM
KOCHA WA KIMATAIFA WA MCHEZO WA MASUMBWI NCHINI RAJABU MHAMILA 'SUPER D' KATIKATI AKIWA NA MABONDIA IDDI MKWELA KUSHOTO NA VICENT MBILINYI BAADA YA MAZOEZI KATIKA KAMBI YA SUPER D COACH UHURU GYM
SUPER D COACH KULIA AKIWA NA MABONDIA VICENT MBILINYI KULIA NA IDDI MKWELA KATIKATI
Friday, November 25, 2016
BONDIA IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE' APAA Huxleys,Berlin
Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' akiwa katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa julius nyerere kwa ajili ya safari yake ya kwenda Huxleys, Kreuzberg, Berlin kupambana novemba 29 mpambano wa marudio na bondia Zapir Rasulov baada ya lile la kwanza kushinda kwa point kule nchini Panama City, Panama na kurudi na ubingwa kulia ni msaidizi wa bondia huyo Joe Anena Picha na SUPER D BOXING NEWS
Msaidizi wa Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' JoeAnena kushoto wakiwa katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa julius nyerere kwa ajili ya safari yao ya kwenda Huxleys, Kreuzberg, Berlin kupambana novemba 29 mpambano wa marudio na bondia Zapir Rasulov baada ya lile la kwanza kushinda kwa point kule nchini Panama City, Panama na kurudi na ubingwa Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa Masumbwi Nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akiwa na bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' wakati alipo msindikiza bondia huyu uwanja wa ndege wa kimataifa wa julius nyerere kwa ajiri ya safari yake ya kwenda Huxleys, Kreuzberg, Berlin kupambana novemba 29 mpambano wa marudio na bondia Zapir Rasulov baada ya lile la kwanza kushinda kwa point kule nchini Panama City, Panama na kurudi na ubingwa Picha na SUPER D BOXING NEWS
Msaidizi wa Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' Joe Anena kushoto akizungumza na bondia huyo kabla awajapanda pipa kwenda Berlin
Kocha wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' katikati akiwa na bondia Ibrahimu Class kushoto na Joe Anena katika uwanja wa ndege wa kimataifa kwa ajili ya safari ya Berlin ya bondia huyo anaenda kuzipiga mpambano wa marudiano na na bondia Zapir Rasulov baada ya lile la kwanza kushinda kwa point kule nchini Panama City, Panama na kurudi na ubingwa Picha na SUPER D BOXING NEWS
Kocha wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' katikati akiwa na bondia Ibrahimu Class kushoto na Joe Anena katika uwanja wa ndege wa kimataifa kwa ajili ya safari ya Berlin ya bondia huyo anaenda kuzipiga mpambano wa marudiano na na bondia Zapir Rasulov baada ya lile la kwanza kushinda kwa point kule nchini Panama City, Panama na kurudi na ubingwa Picha na SUPER D BOXING NEWS
Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa Masumbwi Nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akiwa na bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' wakati alipo msindikiza bondia huyu uwanja wa ndege wa kimataifa wa julius nyerere kwa ajiri ya safari yake ya kwenda Huxleys, Kreuzberg, Berlin kupambana novemba 29 mpambano wa marudio na bondia Zapir Rasulov baada ya lile la kwanza kushinda kwa point kule nchini Panama City, Panama na kurudi na ubingwa Picha na SUPER D BOXING NEWS
![]() |
Kocha wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' katikati akiwa na bondia Ibrahimu Class kushoto na Joe Anena katika uwanja wa ndege wa kimataifa kwa ajili ya safari ya Berlin ya bondia huyo anaenda kuzipiga mpambano wa marudiano na na bondia Zapir Rasulov baada ya lile la kwanza kushinda kwa point kule nchini Panama City, Panama na kurudi na ubingwa Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Saturday, October 22, 2016
IDDI MKWELA NA ISSA NAMPEPECHE WAPIMA UZITO KUZIPIGA KESHO OCTOBER 23 CCM MWIJIMA MWANANYAMALA
Kocha wa wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D ' katikati akiwa na mabondia Iddi Mkwela kushoto na Issa Nampepeche baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa raundi kumi utakaofanyika siku ya jumapili ya October 23 katika ukumbi wa CCM Mwijuma Mwananyamala Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Mabondia Iddi Mkwela kushoto akitunishiana misuli na Issa Nampepeche baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa jumapili ya Ocober 23 katika ukumbi wa CCM Mwijuma Mwananyamala Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Mabondia Iddi Mkwela kushoto akitunishiana misuli na Issa Nampepeche baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa jumapili ya Ocober 23 katika ukumbi wa CCM Mwijuma Mwananyamala Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini katikati Rajabu Mhamila 'Super D ' akimtia gumi la kolomelo kocha wa ISSA Nampepeche Ibrahimu Kamwe wakati wa upimaji uzito baada ya kokosana kauli kila mmoja akidai bondia wake zaidi Super D anamnowa Iddi Mkwela na Kamwe anamfundisha Nampepeche
Kocha wa wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D ' katikati akiwa na mabondia Iddi Mkwela kushoto na Issa Nampepeche baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa raundi kumi utakaofanyika siku ya jumapili ya October 23 katika ukumbi wa CCM Mwijuma Mwananyamala Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Bondia Iddi Mkwela akihojiwa na wana habari nyuma ni kocha wake Rajabu Mhamila 'Super D' |
Bondia Mohamed Kisua akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake kesho jumapili |
mohamedi kisua
bondia Pius Kazaula akipima uzito
PIus Kazaula
Pius Kazaula
Bondia Iddi Mkwela akipima uzito kushoto ni mpinzani wake Issa NampepecheBondia Rojas Masamu akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake na Haidal Raju
Rojas Masamu
Tuesday, October 18, 2016
MAKOCHA WA MCHEZO WA MASUMBWI WAKUTANA KUJADILI CHANGAMOTO ZA MCHEZO UHO
Kocha wa mchezo wa masumbwi nchini kutoka Tanga Chalres Muhiru kulia akifafanuwa jambo wakati wa kikao cha makocha kiricho itishwa na KINYOGOLI FONDOTION mwishoni mwa wiki iliyopita kushoto ni Habibu Kinyogoli Master Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Kocha wa mchezo wa ndondi Habibu Kinyogoli Masta akizungumza na makocha walio hudhulia katika kikao cha makocha kilichofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita kulia na Charles Muhiru Spens Picha na SUPER D BOXING NEWS
MAKOCHA WA MCHEZO WA MASUMBWI WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA BAADA YA KIKAO CHAO
Makocha wa mchezo wa masumbwi wakiwa katika picha ya
pamoja baada kikao chao waliosimama kutoka kushoto ni Sako Mtulya,
Ibrahimu Kamwe, Ally Bakari, Michael Buchato na waliokaa kutoka kushoto
ni Chalres Muhiru wa Tanga Habibu Kinyogoli pamoja na Kocha wa kimataifa
wa machezo huo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' Picha na SUPER D BOXING NEWS
Makocha wa mchezo wa masumbwi wakiwa katika picha ya pamoja baada kikao chao waliosimama kutoka kushoto ni Sako Mtulya, Ibrahimu Kamwe, Ally Bakari, Michael Buchato na waliokaa kutoka kushoto ni Chalres Muhiru wa Tanga Habibu Kinyogoli pamoja na Kocha wa kimataifa wa machezo huo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' Picha na SUPER D BOXING NEWS
PIUS KAZAULA KUZIPIGA NA IDD PIALALI NOVEMBA 12 TASUBA BAGAMOYO UBINGWA WA AFRIKA
Mabondia Pius Kazaula na Idd Pialali wakitunishiana misuli baada ya kusaini mpambano wao wa ubingwa wa U.B.O Afrika uzani wa KG 66 utakaofanyika katika ukumbi wa TASUBA Bagamoyo mpambano utakuwa wa raundi 12 utapigwa novemba 12 Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Bondia Pius Kazaula wa morogoro kushoto na Idd Pialali wa Bagamoyo wakitoleana macho wakati wa kutangaza mpambano wao wa ubingwa wa U.B.O Afrika raundi 12 utakaofanyika november 12 katika ukumbi wa TASUBA Bagamoyo Mokoa wa Pwani Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Mabondia Pius Kazaula kushoto na Idd Pialali wakiwa katika pozi la kutunishiana misuli baada ya kusaini mkataba wa kuzipiga novemba 12 mpambano wa ubingwa wa U.B.O Afrika utakaofanyika katika ukumbi wa Tasuba Bagamoyo Mkoa wa Pwani Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Mabondia Pius Kazaula na Idd Pialali wakitunishiana misuli baada ya kusaini mpambano wao wa ubingwa wa U.B.O Afrika uzani wa KG 66 utakaofanyika novemba 12 katika ukumbi wa TASUBA Bagamoyo mpambano utakuwa wa raundi 12 Picha na SUPER D BOXING NEWS |
BONDIA ROJAS MASAM |
BONDIA EMILIO NORFAT |
BONDIA IDD PIALALI |
BONDIA PIUS KAZAULA |
Bondia Pius Kazaula wa Morogoro kushoto akisaini mkataba wa kuzipiga novemba 12 na Idd Pialali kuwania ubingwa wa U.B.O Afrika mpambano utakaopigwa kwa raundi 12 katikati ni Katibu Mkuu wa P.S.T Anthony Rutagamba Picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Idd Pialali wa Bagamoyo kulia akisaini mkataba
wa kuzipiga novemba 12 na Pius Kazaula wa Morogoro kuwania ubingwa wa U.B.O Afrika mpambano
utakaopigwa kwa raundi 12 katikati ni Katibu Mkuu wa P.S.T Anthony
Rutagamba Picha na SUPER D BOXING NEWSMABONDIA PIUS KAZAULA WA MOROGORO KUSHOTO NA IDD PIALALI WA BAGAMOYO WAKIPITIA MIKATABA YAO KABLA YA KUSAINI KUZIPIGA NOVEMBA 12 BAGAMOYO MKOA WA PWANI
Na Mwandishi Wetu
MABONDIA Pius Kazaula wa Morogori na Idd Pialali wa Bagamoyo mkoa wa Pwani wamesaini mkataba wa kuzipiga Novemba 12 katika ukumbi wa chuo cha sanaa Bagamoyo TASUBA watazipiga kugombania ubigwa wa U.B.O Afrika mpambano wa raundi 12
akizungumza wakati wa utiaji saini mpambano uho Katibu Mkuu wa P.S.T Anthony
Rutagamba amesema wameamua kuwawekea ubingwa wa Afrika kwa kuwa mabondia hawo viwango vyao vinafanana kwa kila kitu mana katika boxrec wote wana point 5 pamoja na nyota moja hivyo ni mabondia wa kuwaendeleza kwa sasa kwa kuwa ndio vijana tunao wategemea kwa kipindi hiki
aliongeza kwa kusema mabondia hawo watacheza katika uzito wa paund 147 sawa sawa na kilo glam 66 ubingwa wa U.B.O Afrika ambapo Super visor wa mpambano uho atakuwa Josmo Mlundwa
aliongeza kwa kusema kuwa mabondia wengine walioingia mikataba kwa ajili ya kucheza mchezo wa utangulizi siku hiyo ni Emilio Norfat atakaezipiga na Rojas Masam mpambano wa raundi 6 katika uzito wa kg 61
Katika
Mchezo huo kutakua na Uuzwaji wa DVD za mafunzo ya mchezo wa ngumi
pamoja na kutambua sheria zake mbalimbali zitakazokua zikisambazwa na
kocha 'Super D' kwa ajili ya kuwapa mabondia mbalimbali mbinu za mchezo
na mashabiki kujua sheria za masumbwi.
Ndani
yake wakiwemo mabondia Floyd Mywether, Manny Paquaio, Amiri Khani,
Mohamedi Ali, Mike Tayson David Haye na wengine ambapo kutakuwa na
matukio ya mazoezi yao katika mataifa yao ikumbukwe kuwa ni mabingwa wa
dunia. na kutakuwa na mapambano makubwa matano ya utangulizi
Subscribe to:
Posts (Atom)