KAMPUNI YA SHIJA PROMOTIONS KUANDAA PAMBANO LA KICK BOXING LA KIMATAIFA DAR
''HIVI
KARIBUNI NILIKUWA NCHINI SAPIN KATIKA SEMINA YA MUAY-THAI katika GYM
INTERNATIONAL RAM MUAY CHINI YA CHAMA WORLD FEDERATION THAI-BOXING CHA
SPAIN PRESIDENT JOSE COSSA. MWAKA HUU WAPIGANAJI WA SPAIN WATAKUJA
CHINI TANZANIA KWA AJILI YA KUTOA MAFUNZO KWA MA WAAMUZI WA MCHEZO WA
MUAY-THAI NA MIXED MARTIAL ARTS [MMA] PIA KUTAKUWA NA MPAMBANO WA
UBINGWA WA DUNIA WA MUAY-THAI TANZANIA AGAINST SPAIN UTAKAOANDALIWA
NA KAMPUNI YA SHIJA PROMOTIONS. EMMANUEL SHIJA NI PRESIDENT WORLD
FIGHTINGS PORT & MARTIAL ARTS COUNCIL [WFMC ] MAKAO MAKUU
GERMAN''.
No comments:
Post a Comment