Mashindano ya kimataifa ya ngumi za uzani wa kati yametangazwa jana Jumapili kwenye vituo vinne vya wazi mjini Tacloban ili kuwatia moyo wakazi wa maeneo hayo baada ya kukumbwa na kimbunga kilichoathiri maisha yao.
Katika mashindano hayo mbunge Pacquiao akaibuka mshindi dhidi ya mpinzani wake Brandon Rios kwa raundi 12 huko Maca ,na kutangaza kuwa kipaumbele chake ni kutembelea mji wa Tacloban kama alivyowaahidi wakazi wa mji huo.Pacquiao ameongeza kuwa timu yake inashughulikia kupata taarifa zitakazo mwezesha kusafiri hadi kwenye mji mkuu wa jimbo la Leyte na atakuwa huko ndani ya siku chache zijazo
Baadhi ya wafilipino wakifuatilia mpambano wa manny paquaio |
.
WAKIFATISSHA WIMBO WA TAIFA WAKATI UNAPIGWA UKU WAO WAKIANGALIA MPAMBANO HUO KUPITIA LUNINGA |
No comments:
Post a Comment