SuperD Boxing Coach
Pages
(Move to ...)
Home
▼
Tuesday, April 17, 2012
MABONDIA WA KAMBI YA ILALA WAJIFUA KWA AJILI YA MPAMBANO MAY 4
Mabondia wa Kambi ya Ngumi Ilala wakijifua kwa ajili ya mashindano ya kumi bora yatakayofanyika May 4 katika ukumbi wa panandi panandi Ilala Dar es salaam
Mabondia wa Kambi ya Ilala wakifanya Mazoezi ya Kichura chara kwa ajili ya kutafuta stamina na nguvu Mazoezi hayo yaliyokua yakitolewa na Kocha wa Kimataifa wa Mchazo wa Ngumi. Rajabu Mhamila 'Super D' kwa ajili ya kujiaandaa na mashindano ya kumi bora yatakayofanyika May 4 katika ukumbi wa Panandi Panandi Ilala Dar es salaam.Picha na
www.superdboxingcoac.blogspot.
com
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment