
Mabondia Ramadhani Shauli wa Tanzania (kushoto) na Gabliel Ochiang wa Kenya wakitunishiana misuli baada ya kupima uzito, Dar es salaam LEO kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika KESHO katika ukumbi wa friens Coner Manzese.picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Mabondia Ramadhani Shauli wa Tanzania (kushoto) na Gabliel Ochiang wa Kenya wakitunishiana misuli baada ya kupima uzito, Dar es salaam LEO kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika KESHO katika ukumbi wa friens Coner Manzese. picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Baadhi ya mabondia pamoja na viongozi wa mchezo wa ngumi wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kupima uzito leo
Bondia Gabriel Ochiang wa Kenya akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake na Ramadhani Shauli kushoto.picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
No comments:
Post a Comment