KAMISHENI ya Ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBC), imemfungia bondia Francis Cheka kujihusisha na ngumi kwa miaka miwili pamoja na faini ya Sh 500,000 ikiwa ni siku moja tangu bondia huyo atangaze kustaafu.
Pages
▼
Saturday, December 31, 2016
CHEKA AFUNGIWA MIAKA MIWILI NA TPBC KWA KUMKIMBIA DULLA MBABE
KAMISHENI ya Ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBC), imemfungia bondia Francis Cheka kujihusisha na ngumi kwa miaka miwili pamoja na faini ya Sh 500,000 ikiwa ni siku moja tangu bondia huyo atangaze kustaafu.
BONDIA VICENT MBILINYI
MABONDIA VICENT MBILINYI NA MRISHO ADAM KUONESHANA UMWAMA LEO MANZESE
Bondia Vicent Mbilinyi kushoto akitunishiana misuli na Mrisho Adam baada ya kupima uzito jana kwa ajili ya mpambano wao leo katika ukumbi wa manyara park manzese Picha na SUPER D BOXING NEWS |
bondia Mrisho Adam akipima uzito kushoto ni Vicent Mbilinyi
Bondia Vicent Mbilinyi akipima Uzito |
Tuesday, December 20, 2016
BONDIA OMARI KIMWERI AWAMWAGIA VIFAA MABONDIA WATANZANIA
Mwakilishi wa Kimweri Promotion Nchini Tanzania Yuyuph Mnyeto kushoto akimkabidhi vifaa vya ndondi kwa kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' baada ya kupokelewa na kukabidhiwa kwa wadau mbalimbali nchini vifaa hivyo vimetolewa na Bondia Mtanzania anaefanya shughuli zake Victoria, Australia, Omari Kimweri picha na SUPER D BOXING NEWS |
Bondia Selemani Kidunda kushoto kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' na Mwakilishi wa Kimweri Promotion Nchini Tanzania Yuyuph Mnyeto kushoto wakiwa katika picha wa pamoja baada ya kukabidhi vifaa vilivyotoka kwa bondia Omari Kimweri anaefanya shughuli zake Australia
picha na SUPER D BOXING NEWSMwakilishi wa Kimweri Promotion Nchini Tanzania Yuyuph Mnyeto kushoto akimkabidhi vifaa vya ndondi kwa kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' baada ya kupokelewa na kukabidhiwa kwa wadau mbalimbali nchini vifaa hivyo vimetolewa na Bondia Mtanzania anaefanya shughuli zake Victoria, Australia, Omari Kimweri picha na SUPER D BOXING NEWS
Monday, December 19, 2016
MABONDIA VICENT MBILINYI NA IDD MKWELA WAENDELEA KUJIFUA CHINI YA USIMAMIZI WA SUPER D COACH
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kulia akimnowa bondia Vicent Mbilinyi kwa ajili ya mpambano wake na Mrisho Adamu utakaofanyika katika ukumbi wa Manyara Park desemba 31 mpambano wa raundi kumi Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Bondia Vicent Mbilinyi kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Iddi Mkwela wakati wa mazoezi yanayoendelea katika kambi ya Super D Coach Uhuru GYM Kariakoo Mbilinyi anajiandaa na mpambano wake na Mrisho Adamu utakaofanyika Desemba 31 katika ukumbi wa Manyara Park Manzese Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Mabondia Iddi Mkwela kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Vicent Mbilinyi Mbilinyi anajiandaa na mpambano wake Desemba 31 kupambana na Mrisho Adamu Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Mabondia Iddi Mkwela kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Vicent Mbilinyi Mbilinyi anajiandaa na mpambano wake Desemba 31 kupambana na Mrisho Adamu Picha na SUPER D BOXING NEWS
KOCHA WA KIMATAIFA WA MCHEZO WA MASUMBWI NCHINI RAJABU MHAMILA 'SUPER D' KATIKATI AKIWA NA MABONDIA IDDI MKWELA KUSHOTO NA VICENT MBILINYI BAADA YA MAZOEZI KATIKA KAMBI YA SUPER D COACH UHURU GYM
KOCHA WA KIMATAIFA WA MCHEZO WA MASUMBWI NCHINI RAJABU MHAMILA 'SUPER D' KATIKATI AKIWA NA MABONDIA IDDI MKWELA KUSHOTO NA VICENT MBILINYI BAADA YA MAZOEZI KATIKA KAMBI YA SUPER D COACH UHURU GYM
SUPER D COACH KULIA AKIWA NA MABONDIA VICENT MBILINYI KULIA NA IDDI MKWELA KATIKATI